Jihadhari na mbolea bandia
Nunua mbolea kwa wakala aliyesajiliwa tu. Mfuko halisi wa TFC una namba ya batch. Ukiuziwa zaidi ya bei elekezi, toa taarifa kupitia *152*00# chaguo 6.
30 Sep 2026
Nunua mbolea kwa wakala aliyesajiliwa tu. Mfuko halisi wa TFC una namba ya batch. Ukiuziwa zaidi ya bei elekezi, toa taarifa kupitia *152*00# chaguo 6.
30 Sep 2026
Wakulima wa tumbaku: weka NPK 10:18:24 mifuko 4 kwa ekari kabla ya kupandikiza, kisha CAN mifuko 2 kwa ekari baada ya wiki 3. Pata mbolea kupitia chama chako cha ushirika.
23 Sep 2026
Weka UREA wiki 3-4 baada ya mahindi kuota, wakati udongo una unyevu. Usiweke UREA kwenye jua kali bila mvua — inapotea hewani. Mifuko 2 kwa ekari inatosha.
16 Sep 2026
Kwa mahindi, tumia mifuko 2 ya DAP (kg 100) kwa ekari wakati wa kupanda. Weka mbolea chini ya mbegu na funika kwa udongo kidogo ili mbolea isiguse mbegu moja kwa moja.
09 Sep 2026